Chainsaw aina ya Newtop inauzwa
Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana nimeamua kuiuza.
Mashine ni newtop 272 spea zinapatikana bila tatizo kwan zinaingiliana na Hus272...