Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii...