Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali.
Utakuwa ni aibu kubwa kama...
Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni huzuni kubwa kama sio mshangao, hali hiyo imenifanya nibadili uamuzi na kuamua kumpeleka kwenye Shule...
Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi.
Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku.
Hata hivyo, ninadhani biashara hiyo inapaswa kumulikwa, kwani baadhi ya watu wanaokusanya...
Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari.
Nimekuta Wanafunzi na shule nzima ya Msingi Kamama iliyopo Wilayani hapo ina changamoto nyingi...
Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni kwa wachuuzi wa vyuma ambao kwa bahati mbaya sana hawabagui vyuma aina ya vyuma chakavu...
Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar.
Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na barabara ya Shekilango, kuna uharibifu mkubwa wa mazingira. Barabara nzima imegeuzwa dampo ya magari...
Kwa watu wanaosafiri kwa magari mara kwa mara watakubaliana na mimi kuwa, madereva wa Malori ni kati ya madereva walio iva kimafunzo pengine kuliko kundi lingine lolote barabarani.
Huwa wapo makini, waangalifu, na hawafanyi maamuzi ya hovyo hovyo kama hawa wengine wanao tusafirisha.
TATIZO...
NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa.
Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu.
Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
Gumzo kubwa linaloendelea ulimwenguni baada ya mafuriko ya maji Libya baada ya mabwawa mawili kupasuka, kwa sababu ya uchakavu na kutofanyiwa maintenance na uborejashi. Je, hili linaweza kutokea kwetu Tanzania, tukijua kuwa tuna mabwawa ya muda mrefu sana kama Kidatu na Hale?
Ni wakati fika...
Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata shida wakati wa kuviondoa.
Mtu mwenye Ugonjwa huu hutunza vitu kama Magazeti ya zamani, Bidhaa za...
Kama Heading inavyosema. Mitaala ya elimu mibovu ndio chanzo cha umaskini wetu,Jobless na panya Road.. Waziri wa elimu na wizara kwa ujumla inabidi mtutoe apa tulipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.