chakavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jimbo la mhambwe ni aibu kwa mbunge wa jimbo hilo barabara inayounganisha mkoa kutoka kibondo mjini ni chakavu na inatisha.

    Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali. Utakuwa ni aibu kubwa kama...
  2. Ubunifu wa kutumia tairi chakavu za gari

  3. DOKEZO Jamanii Shule ya Msingi Sinza ni chakavu, madarasa yamebomoka na Ofisi ya Walimu nayo imebomoka

    Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni huzuni kubwa kama sio mshangao, hali hiyo imenifanya nibadili uamuzi na kuamua kumpeleka kwenye Shule...
  4. DC Mpogoro, nilidhani ni habari njema kwa wenye maghorofa chakavu kariakoo kuyavunja, huyu kaamua kuvunja, wewe umemkasirikia na kumuweka ndani saa 48

    Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo ambalo yalitokea maafa ya ghorofa kuanguka, anamkamata na kumuweka ndani. Ebooo! Kwa hiyo Mkuu wa...
  5. Kunusuru uharibifu miundombinu ya umma; Serikali isitishe biashara ya chuma chakavu

    BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku. Hata hivyo, ninadhani biashara hiyo inapaswa kumulikwa, kwani baadhi ya watu wanaokusanya...
  6. O

    Nanunua vyuma chakavu nipo Dodoma

    Poleni na Majukumu wanajukwaa Nanunua Vyuma chakavu vya aina yoyote Nanunua. Chuma Dongo Bati Aluminum Copper Brass Cast Bettery Mbovu za gari, pikipiki na Bajaji. Nanunua Motor, Friji, AC, Compressor, Magari na pikipiki Mbovu. Napatikana Dodoma Kikuyu
  7. Nauza trailers na vichwa vyake kama chuma chakavu

    Habari za muda ......nauza trailers na vichwa vyake kwa bei ya 10m kwa 8m....vinapatikana kibaha mkoani pwani...kwa mawasiliano zaidi 0767 015 189
  8. Biashara ya vyuma chakavu

    Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
  9. DOKEZO Hali ilivyo Shule ya Msingi Kamama (Tabora) inasikitisha, vyoo ni chakavu na vichafu, madarasa ndio usiseme

    Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari. Nimekuta Wanafunzi na shule nzima ya Msingi Kamama iliyopo Wilayani hapo ina changamoto nyingi...
  10. DOKEZO Polisi Bunda wafanyieni uchunguzi wanunuzi wa vyuma chakavu

    Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni kwa wachuuzi wa vyuma ambao kwa bahati mbaya sana hawabagui vyuma aina ya vyuma chakavu...
  11. K

    KERO Barabara ya Magomeni - Tandale - Sinza kugeuzwa gereji ya magari chakavu

    Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar. Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na barabara ya Shekilango, kuna uharibifu mkubwa wa mazingira. Barabara nzima imegeuzwa dampo ya magari...
  12. Malori chakavu ni chanzo kikubwa cha ajali

    Kwa watu wanaosafiri kwa magari mara kwa mara watakubaliana na mimi kuwa, madereva wa Malori ni kati ya madereva walio iva kimafunzo pengine kuliko kundi lingine lolote barabarani. Huwa wapo makini, waangalifu, na hawafanyi maamuzi ya hovyo hovyo kama hawa wengine wanao tusafirisha. TATIZO...
  13. Kwanini NHIF wanatoza gharama kubwa kubadili kadi chakavu?

    NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa. Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu. Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
  14. Waziri Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
  15. M

    Baada ya mabwawa ya Libya kupasuka na kuua watu zaidi ya 11,000, je bwawa gani chakavu litafuatia?

    Gumzo kubwa linaloendelea ulimwenguni baada ya mafuriko ya maji Libya baada ya mabwawa mawili kupasuka, kwa sababu ya uchakavu na kutofanyiwa maintenance na uborejashi. Je, hili linaweza kutokea kwetu Tanzania, tukijua kuwa tuna mabwawa ya muda mrefu sana kama Kidatu na Hale? Ni wakati fika...
  16. Kutunza vitu vya zamani au chakavu ndani ni Ugonjwa wa Akili?

    Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata shida wakati wa kuviondoa. Mtu mwenye Ugonjwa huu hutunza vitu kama Magazeti ya zamani, Bidhaa za...
  17. Mitaala mibovu na chakavu ya elimu yetu ndicho chanzo cha kuzalisha Panya Road

    Kama Heading inavyosema. Mitaala ya elimu mibovu ndio chanzo cha umaskini wetu,Jobless na panya Road.. Waziri wa elimu na wizara kwa ujumla inabidi mtutoe apa tulipo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…