NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold)
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha Mashariki ya kati
Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora
Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada.
Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
Kuhifadhi viungo vya chakula ni muhimu ili viweze kudumu kwa muda mrefu na kudumisha ladha na harufu yake. hizi ni njia kadhaa za kuhifadhi viungo vya chakula:
1. Hifadhi Katika Vyombo Vizuri
Hifadhi viungo katika vyombo visivyopitisha hewa kama vile chupa za kioo au plastiki zenye vifuniko...
Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi.
Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds.
Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
Chakula na Mahindi ya msaada yanagawiwa vijijini huko na sio mjini, mjini haijawahi tokea mahindi ya msaada yakagawiwa, na huko vijijini ni wakulima ndio wanalia njaa kali sana. Sasa Bashe anasemaje kuona wakulima wake ndio sasa hivi wanagaiwa mahindi ya msaada?
Bashe ujue anazania wanao teseka...
Kula mlo wenye afya na kufanya mazoezi ya kutosha kunasaidia kuweka mbegu za kiume katika hali nzuri. Kwa hiyo ikiwa mnajaribu kupata ujauzito, sasa ni wakati mzuri wa kufikiria kufanya mabadiliko mazuri ya maisha.
Ni mlo gani wa afya unahitajika kwa baba mtarajiwa?
Chakula cha baba mtarajiwa...
October 16 ya kila mwaka ni Siku ya Chakula Duniani. Siku hii inaadhimishwa ikiwa ni kuikumbusha jamii ya kimataifa kuwa, baa la njaa linaathiri kila mmoja wetu, awe tajiri ama masikini, katika nchi kubwa kiuchumi au nchi iliyo nyuma kiuchumi.
Siku hii ni ilianzishwa na Shirika la Chakula na...
Asilimia kubwa ya watanzaia wanaona kula fast food ndio unakula chakula bora, na wanakuchukulia wewe kama doni wa mtaa. Chakula chako kikihusisha mboga kama bamia, dagaa na mboga nyingine za majani wewe unaonekana kapuku usiyekula vitu wa vya maana!
Mtu anakula chakula bora chenye virutubisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.