chakula cha msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roboti Wa Nape

    Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
  2. CHUKURUMA

    Chakula cha msaada kisitengeneze pombe za kienyeji

    Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Batenga, ameonya baadhi ya wananchi wilahaji humo wanaotumia nafaka kutengeneza pombe kuwa waache mara moja kwani atawakamata Batenga ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Dosidosi, Orkine na Magungu Aprili 5.2023 Amesema kama kuna mtu...
Back
Top Bottom