Mshikaji mmoja yupo jela kwa kesi ya mauaji. Alimuacha mke vizuri na kila kitu sasa mke wake akawa anakitembeza sana, anachapwa sana mtaani na vijana jamaa. Stori zikampata ikamuuma sana.
Siku mke kaenda kumtembelea jamaa kamwambia mke wangu humu siwezi kutoka niletee chakula chenye sumu nife...