Haya ni maoni yangu, nyuma ya huu msaada lazima kuna jambo ambalo hatulijui..
Wasiwasi wangu ni kwamba usalama wa hiki chakula upoje, kwanini kiletwe toka marekani?
Kwanini hawaja taka kuja kununua Tanzania ambapo kuna mchele kibao, hadi wautoe marekani?
Unaweza kuta jumla ya fedha zilizo...