Leo mambo mengi sana humu mara kafara, mara watoto kupigwa, karibuni tujipumzishe jamvini.
Ikiwa umenuniwa na bebi wako au umefanya msala au hujisikii tu kuliomba tendo directly ila hamu imekukaba, huwa unafanyaje?
Mimi huwa namwambia, mgongo umekaza naomba animassage, sisubirigi jibu...