chalamila adhibitiwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Rais Samia Mkutano umeisha, sasa ni muda wa kumshughulikia RC Chalamila

    Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania. Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata uchungu, na kisha uliingia Lab kujifungua. Unajua vizuri kadhia wakati wa mchakato huu . Fikiria upo...
  2. Wakusoma 12

    Kwanini Samia hataki kuchukua hatua kwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam cha kudhalilisha wanawake?

    Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana? Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe nyumbani? Anapata wapi mandatory ya kuzungumzia rushwa hadharani? Kwanini Rais ambaye ni mfariji namba...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    LHRC: Chalamila achuliwe hatua za kinidhamu kwa kauli ya kutweza utu wa Mwanamke

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kutokana na kauli yake anayodaiwa kuitoa hivi karibuni ambayo wamedai kuwa inatweza utu wa...
  4. Waufukweni

    RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

    RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
  5. S

    Chalamila ni aina ya kiongozi anayetumia rungu kuua mbu, adhibitiwe kabla rungu lake halijaeleta maafa sehemu nyeti za mwili!

    Kuna ule usemi kwamba ukiwa na mtu ndani ya nyumba yako, akaamua kutumia rungu kuua mbu bila kujali mbu yuko sehemu gani. Sasa waswahili wanasema, kuna siku mbu anaweza kutua sehemu nyeti ya mwili, na muuaji mbu kwa rungu ataleta madhara makubwa! Sasa naufananisha utendaji wa Chalamila na kauli...
Back
Top Bottom