chalinze

The Chalinze by-election was a by-election held in Tanzania for the parliamentary constituency of Chalinze. It was triggered by the death of Saidi Bwanamdogo, the previous Member of Parliament (MP) who had held the seat for the Chama Cha Mapinduzi since 2010. The by-election took place on 6 April 2014 and the CCM candidate won by a landslide.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  2. mdukuzi

    Jakaya Kikwete atakuwa hajapendezwa na ujenzi wa daraja la mto Pangani. Akiwa Rais alikataa lisijengwe kuhofia Chalinze kupooza

    Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja. JPM kwa kinywa chake anadai chupuchupu afe kwenye ajali ya boti kivuko cha busisi, kilichomsaidia machale yalimcheza...
  3. The Burning Spear

    Usalama wa Viwanja na Mashamba Pingo Chalinze upoje?

    Great thinkers. Mwenyeji au anaeyelewa usalama na hatari zilizopo hapo atujuze. Bongo hii pamejaa makanjanja wengi sana. Ili kuepuka kupigwa kwenye ununuzi wa aridhi tufumbueni macho kidogo.sisi wageni maana hata watendaji wa serikali hawaaminiki kwa sasa lao ni moja na madalali.. Karibuni
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
  5. The Watchman

    Madiwani Chalinze wailalamikia DAWASA kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo Pwani wamelalamikia kitendo cha Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira DAWASA Chalinze kwa kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi kwa kipindi kirefu Wamesema kukosekana kwa huduma hiyo kwa muda mrefu imewalazimu wananchi...
  6. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa Mji wa Chalinze. Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea...
  7. B

    Leo ndio leo! Chalinze festival funga mwaka bonanza ndani ya Chalinze, Kikwete agawa vifaa

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
  8. Shanily

    Nishushe Chalinze

    Kuna dogo mmoja alikuwa anatoka Mkoa anakuja Dar Es Salaam Sasa akamwambia konda. Dogo: Konda tukifika Chalinze uniambie. Konda: Sawa. Gari likatembeaaaa sasa konda akasahau kumwambia dogo walipofika chalinze, wakapapita. Dogo kuona hashituliwi ikabidi amuulize konda. Dogo: Konda, chalinze...
  9. B

    Chalinze yazidi kushinda mfululizo kwenye mbio za mwenge kwa utekelezaji bora wa miradi ya maendeleo

    Wote mnakumbuka kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze iliyopo mkoani Pwani ilishinda na kuongoza Kitaifa katika Halmashauri zilizofanya vizuri katika ubora wa utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo iliyotembelewa na Mwenge wa Uhuru. Mwaka huu 2024...
  10. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  11. J

    Bashungwa aweka jiwe la msingi shule ya sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  12. I

    Soko la Bwilingu - Chalinze liligharimu Tsh. Bilioni 1.7 lazinduliwa Mkoani Pwani

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kwa kujenga miundombinu ikiwemo Masoko ili kurahisisha...
  13. mdukuzi

    Ofisi za mkuu wa wilaya ya Chalinze ziko wapi?

    Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
  14. A

    SGR ingekuwa Vyema Ingepita Chalinze na Kibaha

    Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es Salaam kwa Urahisi sana Sijui kwa nini Wenye maamuzi hawakuliina hili Hii tabia ya kupitisha treni...
  15. R

    Kwanini JK asiuze nyumba aliyojengewa na serikali akajenge chuo, shule au hospitali kule Chalinze?

    JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%. Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu? Naona hali hiyo pia ipo kwa...
  16. Roving Journalist

    Zaidi ya Sh Bilioni 510 kujenga laini ya kusafirisha umeme kutoka Chalinze Substation hadi Dodoma

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510. Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
  17. Pfizer

    Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

    KUMI LA PAMOJA CHALINZE Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
  18. Kyambamasimbi

    Kwa mwenye mawasiliano ya St. Alphonsa primary school chalinze anisadie.

    Habari wanajf. Nataka kumpeleka kijana wangu pale.The heading above related.
  19. B

    Mbunge Kikwete agawa bima za afya kwa mabalozi Chalinze, asisitiza kuwapa kipaumbele

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila siku zinazofanywa na fursa zinazojitokeza ili kuwatambulishaU umuhimu wao katika kazi na ustawi wa...
  20. BARDIZBAH

    Safari ya Morogoro kwenda Tanga unatumia saa ngapi kwa Basi?

    Naam wakuu naomba nisaidieni majibu.
Back
Top Bottom