Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini zimesababisha uharibifu katika Barabara ya Chalinze – Segera hasa eneo la Kimange Mkoani Pwani.
Awali baada ya kudaiwa njia hiyo imefungwa kutokana na mvua iliyonyesha Aprili 15, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alisema “Barabara ilifungwa...