chama act

  1. Yoda

    Kiongozi (mkuu) wa chama ACT ni nani sasa hivi?

    Kiongozi (mkuu) wa chama ACT wa sasa anaitwa nani? Tangu kuondoka kwa Zitto Kabwe kama kiongozi wa ACT sijawahi kumjua au kumsikia kiongozi wa hiko chama tena, sioni hata akihojiwa au akinukuliwa na vyombo vikubwa vya habari kama BBC na DW.
Back
Top Bottom