KELELE ZA MAJIRANI KUHUSU CHAMA KABLA YA USAJILI.
Chama hana kasi
Chama anapoozesha mipira
Chama anaharibu "move" za wenzie
Chama hapati namba Yanga SC
Chama siyo mchezaji wa mechi kubwa
Chama mbinafsi na mchoyo
Chama kazeeka
Chama mnamlea vibaya sana
Chama amevimba kichwa
Chama mkubwa kuliko...
Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama.
Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu haichezi, sasa wasubiri tuone kama SSC haitacheza wala kushinda mataji!
Hongera SSC kwa operation hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.