The Civic United Front (CUF; Swahili: Chama Cha Wananchi, lit. 'Party of Citizens') is a liberal party in Tanzania. Although nationally based, most of the CUF's support comes from the Zanzibar islands of Unguja and Pemba. The party is a member of Liberal International.
Wakuu,
Katika mahojiano na Charles William , Mwenyekiti wa CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa CHADEMA imekua ikikataa ushirikiano wowote wa kisiasa.
Pia Lipumba alieleza kuwa Tundu Lissu aliyekuwa mgombea wao wa Urais alifikia hatua ya kumuwekea pingamizi ili aenguliwe katika...
Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake.
Soma...
Wakuu,
Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya.
Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0
Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa kuungana na Lissu kwenye ajenda ya No Reforms No Election
Msikilize hapa:
Ndugu wanahabari!
Karibuni sana kwenye tukio letu hili ambapo leo CUF- Chama Cha Wananchi kinaongea na Umma wa Watanzania, hususan Wazanzibar kupitia vyombo vya habari.Tunaanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyefanikisha uwepo wetu hapa katika muda huu. Nawashukuru nanyi wanahabari kwa kuitikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.