Venancio Mondlane, kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji, amethibitisha kuwa atarejea nchini Alhamisi wiki hii, siku chache kabla ya kuapishwa kwa rais mteule, Daniel Chapo.
Mondlane, ambaye alikimbilia nje ya nchi baada ya wakili wake kuuawa kwa risasi mnamo Oktoba 19, alitoa tangazo hilo...