Salaam, Shalom!
Wakati tukiendelea kujiuliza kwanini hakijasajiliwa chama chochote cha siasa kipya tangu iliposajiliwa ACT Wazalendo licha ya vikundi kadhaa kuomba usajili, tujielekeze kwenye mada.
Akihojiwa na Television ya ITV kipindi Cha Dakika 45, Mh TUNDU Lissu amedai, chama Cha MAPINDUZI...