Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, ameupa muda wa siku Saba Uongozi wa Chama cha Tanzania Labour Part (TLP), kutoa ufafanuzi wa madai ya ukiukwaji wa Katiba ,Kanuni za Chama hicho kikongwe cha Siasa Nchini kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa ofisini kwake na Wanachama wa Chama hicho Nchini...