Hellow Tanganyika,
Nchi yetu Ina mfumo wa vyama vingi vya siasa,
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na ikitokea Watanzania wakaamua kuipa CHADEMA kuongoza Nchi kutokana na udhaifu au kutokubalika Kwa mgombea KITI kikubwa wa chama Cha kijani, je magereza haya yatatosha?
Na ikiwa yatatosha, je...
Habarini,
Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama ajira zao
Kama kweli tunataka mabadiliko ya kweli ndani ya Tz basi NETO wabadili style yao ya kwenda...
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .
Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na...
Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo,
Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani?
Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo
1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited
2. Unaweza...
Hellow!!
Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua.
Sasa umati uliojitokeza ndio Hasa umenipa kufurahi maana wananchi wameitika Kweli Kweli Kwa kuacha KAZI zao kumpokea kiongozi...
Wakuu,
Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika Jumamosi, Disemba 7, 2024.
Mahama aliibuka mshindi dhidi ya Makamu wa...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial jimbo la Lupa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kimezindua mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji na kuwaomba wananchi kujitokeza...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza...
Nimetafakali na kuwaza sana zaidi ya wagombea elfu 16 za wagombea wa vyama vya upinzani walikosea kujaza form. Cha ajabu form hizo ziliandikwa kwa k Swahili. Lakini cha ajabu CCM walijaza kwa ufasaha wote.
Hii ndio sababu ya kuuliza hivi ukiingia champ chochote cha upinzani una sahahu hapo...
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi.
Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
chamachamachaupinzanichama kikuu chaupinzani
conservative party
historia
kemi badonech
kiingereza
kiongozi
kuongoza
kwanza
mdada
mpya
mwafrika
nigeria
party
wake
wazazi
Mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku ya Jumatano iliwahukumu wanachama 16 wa chama cha upinzani kifungo cha miaka mitano jela kwa kupatikana na vilipuzi kinyume cha sheria na mashtaka ya “uhaini”, wakili wao alisema.
Timu ya utetezi inazingatia kukata rufaa, ikisema washtakiwa walikuwa...
Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!?
Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za...
CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti.
Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi...
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa...
Wakuu Habarini/salaam/Shalom
Ukitazama kwa mwenendo wa siasa zetu ndani ya miaka takribani 10 mpaka sasa,utaona jinsi watu walivyo kuwa na mwamko mdogo sana kuhusu siasa,hii inakuja baada ya kufungiwa kwa harakati za kisiasa chini ya Hayati J.P. Magufuli, Madhara ndo yanaonekana leo🩴
Hali...
Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa.
Je, ni kipi kwa maoni yako?
Miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye...
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza...
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.