chama cha ushirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna changamoto ya uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo

    Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo. Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika TANECU, Karimu Chipola amewaonya wasafirishaji wa Korosho wanaotoza fedha nje ya mkataba wa chama cha msingi

    Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika TANECU LTD, Karimu Chipola, ameahidi kuchukua hatua kali kwa msafirishaji yeyote atakayetoza fedha nje ya mkataba kwa chama cha msingi. Ametoa kauli hiyo leo, Machi 27, wakati wa uzinduzi wa zabuni ya kusafirishaji mazao kwa msimu wa 2025/2026. Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…