chama cha wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  2. Mindyou

    Trump apunguza wafanyakazi wa USAID kutoka 10,000 hadi 300. Chama cha wafanyakazi serikali chafungua kesi mahakamani

    Wakuu, Kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa kuvunja Shirika la Msaada wa Kibinadamu la Marekani (USAID) na kupunguza wafanyakazi, vyama vya wafanyakazi wa serikali nchini Marekani, vimewasilisha kesi mahakamani kuitaka kusitisha mpango wa kufungwa kwa shirika hilo, vikisema Rais Donald Trump...
  3. Yoda

    Chama cha wafanyakazi wa magari chawafungulia mashitaka Trump na Elon Musk

    Chama kikubwa cha umoja wa wafanyakazi wa sekta ya uzalishaji magari, ndege na mashine za mashambani wamewafungulia mashitaka Donald Trump na Elon Musk wakilalamika mazungumzo yao ya jana Twitter yalihusisha kauli za kudhalilisha, kutishia na kudhoofisha wafanyakazi wanaogoma kushinikiza...
  4. Cheology

    KERO CWT ni Chama cha wafanyakazi kisichopendwa na wadau wake. Wanalazimisha uanachama!

    Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya...
  5. Roving Journalist

    Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari. Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo...
  6. BARD AI

    Chama cha Wafanyakazi chaitisha Mgomo kupinga Gharama kubwa za Maisha

    Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
  7. BigTall

    Wajumbe Mkutano Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu (RAAWU) wamkataa mwenyekiti wao

    Kuna Mkutano Mkuu wa Baraza la Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Ushauri, Habari na Utafiti ambao unafanyika katika Hoteli ya Edema Manispaa ya Morogoro. Lakini katika mkutano huo ambao umeanza majira ya saa mbili asubuhi leo tarehe 23 Machi...
  8. beth

    Tunisia: Chama kikuu cha Wafanyakazi champinga Rais Saied

    Chama cha Wafanyakazi kinachotajwa kuwa na ushawishi zaidi Nchini humo kimepinga kitendo cha Rais Kais Saied kushikilia Madaraka yote na kuonya juu ya tishio kwa Demokrasia Rais Saied ameendelea kusisitiza kitendo chake ya kusitisha shughuli za Bunge na kumfuta kazi Waziri Mkuu kilihitajika...
Back
Top Bottom