Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Same Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu
Soma Pia: Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa...
Wakuu
Yaani gari wanunue wao CWT alafu RC Kilimanjaro kaenda kuzindu tu!
==
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bwn. Nurdin Babu akizindua gari la chama cha walimu Moshi manispaa wakati wa Kliniki ya Samia katika mkoa wa Kilimanjaro iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru...
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Mikoani Arusha Yenye Lengo La...
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.
Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano.
Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
CWT ni chama cha walimu kama kinavyojipambanua na kujitangaza siku zote za uwepo wake. Zaidi kinatangazika kwa sifa ya kutetea maslahi ya Mwalimu, haki na kumpigania mwalimu ili apate mazingira mazuri ya kazi.
Nafikiri imefika wakati sasa kama chama kijitathmini hasa kuhusu kazi yake na gharama...
Chama cha walimu Tanzania ndio chama kikubwa kuliko vyote vya Wafanyakazi hapa nchini japo leo hii kina sura tofauti mbele ya jamii. Yanayojitokeza hivi sasa ni muendelezo tu wa vurugu zilizoanza baada ya kifo cha aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Msulwa 2017. Hiki ndicho kipindi ambacho...
Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT.
Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
Anonymous
Thread
chamachamachawalimuchamachawalimu tanzania
cwt
kubaki
kuhamia
kulazimishwa
tanzania
tunataka
walimu
wengine
Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho.
Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
[emoji298]Maganga amethibitisha kwa matendo yake mwenyewe kuwa hana uwezo wa kushughulikia kikamilifu shida za wanachama na kusimamia madhumuni ya kuanzishwa kwa chama chetu.
Badala yake amekuwa ni mtu wa kukimbikimbia huku na huko kuhonga na kujinasua kwenya majanga aliyoyatengeneza yeye...
Ni upumbavu mkubwa wa Hawa viongozi wa CWT wakiendelea kuwaibia walimu, naomba serikali isikae kimya juu ya Ili suala.
Hiki chama hakina tija kwa walimu zaidi ya kuwanyonya na kuwanufaisha watu wachache wasiojielewa.
Tokea 2017 chama kimekua na migogoro Mingi mno kwa sababu kuiba CWT imekua...
Kama tulivyowahabarisha hapo awali juma hili hili kwenye jukwaa hili hili, Chama Cha Walimu Tanzania kimeendelea kupigwa vita na waliokuwa viongozi wa awali huku wakiendelea kupata msaada mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa Serikali ambao kwa sasa wamekwishaungana kwa ajili ya...
Chama cha Walimu Tanzania kimepitia misukosuko kadhaa ambayo isivyo bahati imekiyumbisha chama hadi kukiuka Katiba, kanuni zake na maamuzi mbalimbali ya vikao vya chama.
Hali hii imejitokeza baada ya kufariki kwa aliyekuwa katibu mkuu Alhaj Yahya Bakari Kilo Msulwa ambapo nafasi yake kwa mujibu...
Nimekuwa muumini sana wa kusoma magazeti kila siku kujua yanayojili ijapokuwa nilichobaini waandishi wengi ni wanafki wakubwa walioamua kuiacha kalamu yao na kufuata upepo wa kisiasa!
Habari zao ni za kutabirika na za mezani zaidi kuliko za kuzitafuta na kwa sasa ni za kumpamba mtawala aliyeko...
CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache.
Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
Habari zenu wakuu,
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Watajwa hapo juu, Deus Seif aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT na Abubakari Alawi aliyekuwa mwekahazina wa taifa wa CWT mnamo tarehe 28 Juni 2022 walitiwa hatiani na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi, Uchepushaji wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.