chama cha walimu tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni wakati sasa kwa Chama Cha walimu Tanzania (CWT) kupunguza Makato kutoka 2% Hadi 0.5% ili kumuunga mkono mama

    Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3% Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato, Kodi, bima, n.k nayo yanapanda. Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini, Basi nao wapunguze asilimia 1.5 Ibaki 0.5% Ili kusudi nyongeza hii...
  2. Vitisho vya Chama cha Walimu Tanzania(CWT) dhidi ya walimu nchini

    Makatibu habari za asubuhi? Naelewa kuwa CHAKUHAWATA wanatafuta wanachama! Pale ambapo ipo kila Katibu wa wilaya amwandikie DED wake kuhoji kwanini katibu wa CHAKUHAWATA(ngazi husika mf wilaya ya Bukombe), anatumia rasilimali za serikali kwenye shughuli za CHAKUHAWATA yaani muda na mshahara wa...
  3. M

    CWT, TAMISEMI, Hazina na Utumishi husikeni hapa

    Niende moja Kwa moja kwenye hoja. Mh. Rais wa JMT Madame SSH amakuwa akitoa maelekezo Kwa wizara na idara za serikali ya jinsi ya kutatua kero zinazowakabili wafanyakazi wa Serikali. Moja ambalo alishalielekeza na kuliidhinishia fedha za malipo ni like kundi la wafanyakazi waliopanda madaraja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…