chama cha walimu wasio na ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali mna jukumu la kuwasaidia hao Vijana wa NETO na Watanzania wote na sio kuwaletea ukorofi. Tusiwe kama Watu wasio na AKILI tusiojali

    SERIKALI MNAJUKUMU LA KUWASAIDIA HAO VIJANA WA NETO NA WATANZANIA WOTE NA SIO KUWALETEA UKOROFI. TUSIWE KAMA WATU WASIO NA AKILI TUSIOJALI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana Wasomi wote wanahaki zote kuitaka serikali iwaajiri. Hao NETO ni sehemu ya vijana hao. Achana na kina Siye kina...
  2. Mindyou

    Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili

    Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika jumuiya hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na NETO tarehe 25 Februari 2025, Kaheza alikamatwa...
  3. Mindyou

    Umoja wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) wakubali wito wa Simbachawene lakini wataka kuwepo na Ulinzi kwenye kikao

    Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umetangaza kuwa uko tayari kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili ya majadiliano kuhusu ajira za walimu nchini. Hata hivyo, NETO imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha...
Back
Top Bottom