chama cha wanasheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    LIssu alikuwa kiongozi wa Chama cha Wanasheria wa Mazingira (LEAT), kimekufa baada ya Lissu na Nshala kufanya ubadhirifu, ndio apewe CHADEMA?

    LEAT ilikuwa ni moja kati ya taasisi kubwa sana, ikipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, kiasi kwamba ikawa na ofisi mikoani, pale Mwanza walikuwa na ofisi jengo la Nyanza ghorofa ya juu,. LEAT haikudumu. Lissu na Nshalla na mwenzao mmoja sasa marehemu walifyeka hela zote na kuingiza mifukoni...
  2. M

    Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  3. R

    Uchaguzi TLS 2024: Je, wanasheria pia wananunulika?

    Salaam, Shalom! Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali ashinde. Swali: je, wanasheria nao wanapokea RUSHWA? Ikiwa Kweli wanasheria wananunulika, kwanini...
  4. Roving Journalist

    Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024 - Dodoma. Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko akijibu hoja ya Mawakili kukamatwa wanapotekeleza majukumu yao amesema kuwa Serikali imelichukua hili. Amesema kuwa nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria hivyo...
  5. benzemah

    Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  6. Ojuolegbha

    Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi afungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika. [emoji414]1 Novemba, 2022. [emoji625]Madinat Al Bahr, Zanzibar.
Back
Top Bottom