chama cha wanasheria tanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) chaburuzwa Mahakamani kwa kukiuka Haki ya Kikatiba

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kanda ya Tabora kimefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukiuka haki ya kikatiba dhidi ya Mohamed Thabiti Nombo, mkazi wa mkoa wa Tabora. Kesi hiyo, yenye namba 31308 ya mwaka 2024, inasikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa mkoa wa Tabora chini ya...
  2. Roving Journalist

    Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024 - Dodoma. Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko akijibu hoja ya Mawakili kukamatwa wanapotekeleza majukumu yao amesema kuwa Serikali imelichukua hili. Amesema kuwa nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria hivyo...
  3. Cute Wife

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS

    Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024 Wanadai hana sifa ya kugombea urais wa chama cha mawakili tanganyika. Mashauriano yanaendelea baada ya maamuzi husika. PIA SOMA -...
  4. Abdul Said Naumanga

    Mbeya: Mjadala wa wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya

    Karibu kufatilia Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, mjadala huu umeandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS). RECORDED 📺 (22/06/2024 - Dodoma)👇🏼 https://www.youtube.com/live/9cpdC61xmgA?si=lcM2ol5EL11NRUhv RECORDED 🎥 (15/06/2024 - Dar Es Salaam)👇...
  5. Pfizer

    Chama cha Wanasheria Tanganyika chaendesha Mafunzo juu ya haki ya uhuru wa kujieleza

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo asasi za kiraia toka sahemu mbalimbali nchini juu ya haki ya uhuru wa kujieleza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake kwa umma. Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 20 Mei 2024 jijini...
  6. BARD AI

    TLS: Mifumo ya Haki Jinai bado haiwezi kuthibitisha Makosa ya Mauaji, Hukumu ya Kifo ifutwe

    Akizungumza katika kongamano lililowakutanisha wadau kujadili kuhusu adhabu ya Kifo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia amesema mifumo ya haki haipo madhubuti na kuweza kuthibitisha bila kuacha shaka kuwa aliyetiwa hatiani ana kosa Ameongeza kubwa “Adhabu hii ni...
Back
Top Bottom