chama kikuu cha upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Pre GE2025 Athari zitakazo jitokeza endapo CHADEMA (chama kikuu cha upinzani) haitashiriki uchaguzi Mkuu 2025

    Kukosekana kwa chama kikuu cha upinzani kushiriki uchaguzi mkuu katika nchi kunaweza kuwa na athari kadhaa za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Hizi ni baadhi ya athari zinazoweza kutokea: 1. Kudhoofika kwa Demokrasia Ushiriki wa vyama vya upinzani ni muhimu kwa kuhakikisha uwazi na uwajibikaji wa...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Amos Makalla: CHADEMA imepoteza uhalali wa kukosoa jambo lolote!

    Wakuu, Makalla amenguruma leo kupitia Wasafi FM amedokeza kuwa kutokana na yanayoendelea CHADEMA chama hicho cha upinzani kimekosa uhalali na mamlaka ya kukosoa jambo lolote
  3. Johnson Alex Otieno

    ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025

    Habari za mapumziko mabibi na mabwana. Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani. Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  5. M

    ACT Wazalendo vs CHADEMA: Kipi ndio chama kikuu cha upinzani?

    Habari zenu. Kwanza naandika kuuliza hili swali nikiwa mpya katika masuala ya siasa. Hivyo mnaponipatia majibu naombeni kuzodoana na kejeli na kukashifiana viwe pembeni. Tunaelimishana tu Kati ya act na chadema Kipi ndio chama kikuu Cha upinzani maana Kila redio kwenye taarifa za habari...
  6. mwanamwana

    LGE2024 Lema: CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini na kuondoa hadhi yetu

    Lema akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari leo Novemba 13 amesema CCM wanakaa vikao na ACT Wazalendo ili kukifanya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Lema amesema kuwa CHADEMA imenasa vikao ambavyo CCM wanafanya chama cha siasa ambacho wana ushirika wa karibu wa kuwawekea wagombea...
  7. J

    Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

    Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe. Maisha yake mpaka anafikia miaka 16 yalikuwa nchini Nigeria. na baada ya miaka 16 Kemi alirudi...
  8. J

    Pre GE2025 CHADEMA: Tuna Wanachama milioni 17 Nchi nzima!

    Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17 Source: East Africa Radio
Back
Top Bottom