Nisikuchoshe..wewe ndie Mchezaji ushacheza sana unaona kabisa unaelekea ukingoni Yanga hawa apa na Yanga tena hii ya Hersi ambayo inashawishi kila kitu yani hii Yanga inashawishi Ndani na Nje ya Nchi.
Imekufata utagoma?
Mfano tu Mi shabiki LiaLia wa Manchester United Imagine Leo hii Mchezaji...
Words are instrument of creation. Maneno yanaumba.
Kwa muda wa miaka minne mashabiki wa Yanga wamekuwa wakisema " Chama kasajiliwa Yanga, Chama kasajiliwa Yanga"
Hatimaye Chama kasajiliwa Yanga kweli.
Kwa miaka yote hiyo wakati mashabiki wa Yanga wakisema " Chama kasajiliwa Yanga" hawakuwa...
Salaam Wakuu..
Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.
Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.
Ina maana huyu Chawa amegeuka...
Cloatus Chota Chama
Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili.
Kwa tabia hii ni vizuri Kwa viongozi wa Simba wasibabaike na Hilo la Chama wamwache asuke au anyoe atajijua mwenyewe, kwani...
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu.
Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata akibaki Simba hawezi kuwa na utofauti sana na tulivyo muona msimu huu ulioisha.
Yanga wanapata sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.