Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu mno kwa vyama husika kufanya siasa ya kweli ili kuweza kupata mbadala wa chama tawala.
Iko wapi njia...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho.
Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa...
Kwa upendeleo unaona onekana Sasa kwa chama Cha CCM na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani, hasa kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa nashauri ya kwamba ni muda Sasa watanzania waulizwe Kama tuendelee na mfumo wa vyama vingi.
Tunadanganyana kwamba tupo kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali...
Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo.
Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba.
UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
Katika ulimwengu wa kiroho CCM inaonekana imebakisha miaka michache sana ya kuitwa chama tawala Tanzania
Sitaki kusema sana lakini wacha tuone itakavyokuwa. Lakini kama wanavyosema kwenye ulimwengu wa kiroho ukikataliwa basi na kwenye ulimwengu wa kawaida inakuwa hivyo hivyo.