Mabingwa hao watetezi wa michuano hiyo ya Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani wamechukua uamuzi huo kutokana na kutokubaliwa kupata ndege ya kuwatoa moja kwa moja Morocco hadi Algeria.
Uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Nchi hizo mbili siyo mzuri tangu Mwaka 2021, ambapo hata safari za...