chan 2025

Gary Chan Hak-kan, BBS, JP (born 24 April 1976) is a current member of the Legislative Council of Hong Kong. He represents the New Territories North East constituency and is a chairperson of the Democratic Alliance for the Betterment and Progress of Hong Kong (DAB) political party.

View More On Wikipedia.org
  1. Mributz

    Timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) yapangwa kundi B CHAN 2025

    Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za...
  2. V

    Tetesi: CHAN 2025 kusogezwa mbele hadi Agosti 2025

    Ripoti ambazo hazijatibitishwa zinaeleza kwamba michuano ya 2024 ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (TotalEnergies African Nations Championship) itasogezwa mbele hadi Agosti 2025. Ingawa CAF bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu maendeleo haya, kuna ripoti kwamba uamuzi...
  3. A

    CHAN 2025: Tanzania tusifanye makosa yanayayoendelea Zanzibar kujaribu wachezaji

    Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025. Ngoja niwaambie, Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe. Mwaka 2009 tukiwa na Marcio...
  4. Mchochezi

    Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
  5. Waufukweni

    Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025

    Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025 zitakazofanyika Kenya, Uganda, na Tanzania kuanzia Februari 1 hadi 28, 2025. Ahmed Arajiga Arajiga...
  6. mdukuzi

    CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

    Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina hadhi ya kuandaa michuano ya CHAN 2025 nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda Poleni wakenya
  7. Waufukweni

    Ally Salim atemwa, Aishi Manula arejeshwa kikosini Taifa Stars

    Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024 Tanzania itaikabili Sudan ugenini Octoba 27 2024 huku mechi ya marudiano itapigwa Benjamini Mkapa Novemba 3 2024...
  8. Stephano Mgendanyi

    CAF Wakagua Miundombinu ya Michezo Kuelekea CHAN 2025

    Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) watembelea na kufanya ukaguzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 5, 2024. Viongozi hao wapo nchini kwa takriban siku mbili kuanzia Oktoba 5 kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa viwanja mbalimbali vitakavyotumika kwenye mashindano ya...
Back
Top Bottom