Ripoti ambazo hazijatibitishwa zinaeleza kwamba michuano ya 2024 ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (TotalEnergies African Nations Championship) itasogezwa mbele hadi Agosti 2025.
Ingawa CAF bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu maendeleo haya, kuna ripoti kwamba uamuzi...