Nikiwa ndio nimeajiriwa NBC mwaka 2008 kuelekea 2009 kwenye mkutano mmoja NBC MD's road tour, nilimsikia mtu mmoja anahutubia anasema "Mtaimba sana Solidarity forever lakini mtabaki hapo hapo,Mimi nimeomba nafasi ya COO wa NBC nimeitwa kwenye interview nimekutana na makaburu tu hakuna Mtanzania...