Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji.
Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao...
Wakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.
Mdau mwingine akasema yeye...
Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana.
DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29.
Siku za karibuni DStv amekuwa akipungukiwa na wateja hii ni baada ya AzamTv kuliteka soko la ndani...
Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone
Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za D@STV 180+
C@nal Afrique 150+
Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport...
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah
Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake.
Anyway sio...
Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A)
Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024.
Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League...
Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua unazitazama YouTube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo, yawezekana hujawahi kuujua...
Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama...
Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa.
King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.
Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa.
kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli.
Katika chaneli hiyo ya mtandao...
Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI
Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania!
Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
Nimekua nikifiatilia channel hii katika kipindi hiki cha mzozo wa Russia-Ukraine ili kuballance matukio.
Sasa leo najaribu kuangalia haipo hewani na kwenye screen ya tv haileti ujumbe wowote either poor signal au vipi.
Je kwa sisi wapenzi wa Russia Today tv ndio imekula kwetu? Je inaweza kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.