Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji.
Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo. Watu wa IT Brela wamekuwa slow sana kuishughulikia tatizo hili.
Je, tutafika kweli kama mfumo huu...
Ni wazi kuwa BRELA imefanya kazi kubwa katika kusaidia usajili wa majina ya biashara na kampuni hapa Tanzania, lakini changamoto ya mtandao wao kusumbua inazidi kukatisha tamaa wengi, hasa nyakati za jioni!
Wajasiriamali, wafanyabiashara, na wananchi kwa ujumla wanategemea huduma za mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.