BASI BWANA!
Jana usiku kuna jirani yangu amegombana na mke wake. Yalikuwa majira ya usiku mwingi kidogo, nadhani wengi walikuwa wamelala.
Sikutoka nje, lakini niwe mkweli. Sikuziba sikizi lau moja. Nilisikia kila walichokuwa wakijibizana. Hata ilipofika zamu ya mke kupigika, nilisikia sauti ya...
Wakuu heshima kwenu.
Polen na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku.
Niko kwenye hali fulani ya mkanganyiko kidogo. Nasema kidogo kwasababu ni kama niko njia panda japo kuna njia ambayo kwa mujibu wa misingi ya imani na utamaduni na maadili yangu najua nitaiendea njia hiyo japo naona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.