Mheshimiwa Waziri Juma Aweso, Wakazi wa Kinyerezi, hasa Wakazi ambao tupo karibu na mitambo ya kuzalishia umeme ya Kinyerezi; tunasikitika kukiarifu kuwa hatuna huduma ya maji safi kabisa, leo ikiwa ni siku ya 3 tangu DAWASA walipositisha kutupatia huduma hii. Cha kushangaza zaidi ni kwamba...
Mkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu.
Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3.
Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...