Wanafunzi hao wameshindwa kusaini malipo ya ada kwenye mfumo kutokana na changamoto za mfumo wenyewe, jambo hili linawafanya washindwe kufanya mitihani yao ya muhula huu ambayo inaelekea kuanza hivi karibuni, na endapo watataka kufanya mitihani hiyo watatakiwa kulipa ada kwa kutumia fedha zao za...