Mtandao wa tiGO ukanda wa Mbeya Kyela umekuwa na changamoto sana takriban wiki mbili sasa kuanzia muda wa saa mbili usiku, changamoto hii ni simu kupatikana kwa shida, kutosikilizana vizuri na message kuchelewa.
Naomba mtandao wa tigo mliangalie hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.