Wanafunzi wakike nchini Tanzania wanapitia changamoto nyingi Sana katika masomo yao hasa shule za kijijini, changamoto hizi zinahusisha aidha familia(walezi), jamii inayomzunguka na walimu wake. Changamoto hizi hupelekea watoto wengi wa kike kupoteza masomo yao na kupelekea kufanya kazi...