State of mind na afya ya akili ya vijana wa kibongo utaijulia humu JF. At some point kijana anaweza akakakurushia dongo kali humu, yani 24hrs yeye amevurugwa.
Frustration imekuwa kali, vijana wanachomiliki ni akaunti za mitandao ya kijamii na mia 500 za kununulia bahasha za kuzunguka na CV zao...
Hellow !!
Tatizo la ajira nchini ni kubwa, Si vyema nafasi iliyoachwa na Mzee Kinana iendelee kuwa wazi Hadi sasa,
Mtaani kunajengeka taswira mbaya kwamba tatizo la ajira nchini halizingatiwi Kwa kuacha wazi nafasi Ya Makamo Mwenyekiti upande wa Tanganyika Hadi sasa kana kwamba hayupo...
Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job .
Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa history anifundishe topic ya colonial economy
Ninachofanya ninaingia mtandaoni katika hiyo App then...
Hivi wakuu kutokana na changamoto ya ajira ambazo vijana wetu wanapitia nashangaa eti dokta au nesi haruhusiwi kufungua duka la dawa muhimu 🤣.
Hivi alieturoga nani? Tuwahaurumie vijana wetu jaman uwekwe utaratibu kuruhusu waliosoma afya kufanya hio huduma Kwa kufuata utaratibu ajira zenyew Kwa...
Takwimu za Benki ya Dunia na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Jamii na Uchumi (REPOA) zinakadiria takriban watu 800,000 hadi 1,000,000 huingia katika Soko la Ajira Tanzania kila Mwaka, ambapo wanaopata kazi ni kati ya 60,000 hadi 200,000 tu
Je, unapendekeza Serikali na Sekta Binafsi zinafanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.