Kuna hatari kubwa ya maandamano ya vijana kwa sababu ajira ni chache na mikakati ya serikali kupambana na tatizo hili ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa tatizo.
Sioni mikakati madhubuti ya kusaidia vijana wanaomaliza kidato cha nne na kufeli.
Sioni mikakati ya kusaidia vijana waliomaliza vyuo...
Binafsi, nilitambulishwa kwa mke wa Mheshimiwa fulani. Nikaona niwe na mawasiliano naye mara kwa mara kama dada yangu. Hivi majuzi, aliniuliza kama nilikuwa tayari nimepata ajira. Nilipomwambia kwamba bado sijapata, aliniambia atanisaidia kwa kuzungumza na mume wake ili aone namna gani anaweza...
Habari za muda huu Rais Samia, nakupongeza kwa uongozi wako kama Mama wa Taifa letu, huku ukidumisha nafasi yako kama Rais.
Rais Samia, mimi ni mmoja wa vijana wachache tuliojiajiri na tunachangia pato kubwa kwa Taifa letu la Tanzania. Hivi sasa tunakutana na changamoto kubwa sana. Mheshimiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.