changamoto ya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imechukua muda gani kutoboa katika biashara yako? Umejifunza nini?

    Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je, umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na, ulifanyaje kufika hapo. Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo sijakata tamaa ila changamoto ni nyingi sana ikiwemo madeni na mtaji kiduchu bado napambana. Je, wewe...
  2. Nisaidieni kuhusu biashara ya kutengeneza matofali

    Ndugu, habarini. Naomba mnielekeze kuhusu hii biashara inayohusiana na kutengeneza matofali ya block. Changamoto Faida Tahadhari Uendeshaji Mbinu Mashine na vifaa Gharama za uendeshaji Karibuni wajuvi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…