Wakuu,
Kila mtu amepitia changamoto mbalimbali tangu ukuaji wake mpaka hapa alipo,
Wengi wetu tumetokea katika familia masikini,changamoto hazikosekani
Pengine sasa hivi wewe ni daktari,nesi,rubani,mwalimu,afsa ktk ofsi flani,au wewe ni mfugaji mkubwa,mkulima, mfanyabiashara na una kazi yeyote...