Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika.
Meneja umetulia ofisini una sign posho na kupokea mshahara bila kufanya kazi, maana ni kazi gani hiyo ambayo unafanya wakati wananchi...
Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa.
Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni ndani ya nusu saa au saa moja, kwa ufupi yakitoka hayawezi kuendelea muda mrefu yanakatika tena...