Maisha ya mjini, kama vile Dar es Salaam, yamejaa changamoto za kifedha, huku dharura za ghafla zikivuruga bajeti za familia nyingi. Katika miaka iliyopita, kampuni za kukopesha fedha mtandaoni zilionekana kama mkombozi wa haraka kwa wengi waliokuwa wakihitaji pesa za dharura. Hata hivyo, nyuma...
Baadhi ya App za Mikopo zinatesa wananchi wanaandika wanakopesha kwa siku 100 lakini baada ya siku nane wanadai wananchi.
Riba zao pia ni kubwa sana na ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida.Serikali ifuatilie hili kwa kina kama haina maslahi nalo.
Wananchi pia wapewe uelewa kuhusu Mikopo hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.