Wakuu,
Kwa siku mbili tatu hizi kumetokea changamoto kubwa ya mtandao kwenye upande wa MPESA ambapo watu wamekuwa wakipata changamoto katika kutokea na kupokea pesa kupitia mitandao ya simu.
Soma pia:
Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo...
Kwema?
Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukua hewani.
Ukipiga simu hazitoki, ukituma sms haziendi na Data haifanyi kazi.
Hii sii mara ya kwanza kwani Sept 28 walikuwa hivi hivi.
Waliahidi wanarudisha mabando yetu hawajarudisha mpaka leo.
Je, Vodacom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.