Habari Bado napambana Na harakati za mpunga kwa sasa shamba langu La mpunga ushavuka Siku 50 ila nimechunguza ndani ya ndiwa zangu panya wameanza kukata ingawa maji yamejaa sasa wasije wakanipa hasara na ulipofikia nishapiga UREA, wazoefu waliokutana na changamoto Kama Hizo naomba tushare hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.