changamoto ya samsung a71

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. passion_amo1

    Msaada: Samsung A71 5G ina tatizo la kukaa na chaji

    Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji kabisa. Mafundi wa Samsung mnaweza kuniambia nifanye nini na gharama zake. Ahsanteni.
Back
Top Bottom