Sote tunataka nchi yetu isonge mbele lakini tunachoka na kuumia mnoo tunapoona suala la umeme hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 mfululizo likitumika kama kichaka cha upigaji wa watu fulani fulani na kuchezewa sarakasi za ajabu na wanasiasa.
Kwa muda mrefu sababu za kukosekana kwa umeme wa...
Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum naomba mnisaidie kufikisha kilio hiki sehemu husika. Ahsanteni
Hali hii imezoeleka katika manispaa tajwa hapo juu! Na kugeuka maficho ya vibaka na machimbo ya watenda vitendo haramu!
Ni rai yetu kwenu uongozi wa manispaa. Kuja na mpango mkakati wa kutokomeza hali ya ugiza kwa kuzindua angalau kampeni ya nyumba kwa nyumba kuwataka wamiliki kuweka taa za...
Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole Wananchi wanaopitia kadhia hiyo.
Mwanachama huyo alidai Wananchi wanapata wakati mgumu ikiwemo...
Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani.
Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake
Inakera sana
TANESCO makao makuu tuna uhakiaka hamna taarifa na hizi hujuma tunazofanyiwa na uongozi wa...
Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi.
Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne.
Mmeshatuunguzia vitu hadi imetosha sasa, yaani inakuwa kero. Ni service gani mnafanya kila siku muda ule...
Anonymous
Thread
changamotoyaumeme
kukatika kwa umeme
mgao wa umeme
shida yaumeme
tanesco
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.